Unaonekana mzoefu wa mitala...inawezekana huyo ni mke wake wa 15
Unaonekana mzoefu wa mitala...
mitala ndio nini?
Unaonekana mzoefu wa mitala...
mitala ndio nini?
Kuwa na wake zaidi ya mmoja!!!
Hapana chezea Babu wewe
inawezekana huyo ni mke wake wa 15
Mchere mchere!!??kweli coz babu anaonekana ni mjuvi wa mambo , yaani kachagua "mtoto mchere mchere".
Check kamguu kalivopauka,kama kipande cha mhogo.