Mmh

mshana bwana m n mkaz wa mbeya, hii kitu cjawai iiona mbeya. hauja2tendea hak wana mbeya kwakwel
 
Hiyo mbeya ya mwaka 80s labda

Miaka ya 80 Mbeya ilikuwa kwenye miaka ya 50. Leo hii dunia inaongelea mwaka wa 2017 lakini kwa Mbeya wako 1970. Kule ni dunia nyingine, Wanapashwa kuwa na kalenda yao tofauti na dunia nyingine.
 
Miaka ya 80 Mbeya ilikuwa kwenye miaka ya 50. Leo hii dunia inaongelea mwaka wa 2017 lakini kwa Mbeya wako 1970. Kule ni dunia nyingine, Wanapashwa kuwa na kalenda yao tofauti na dunia nyingine.
 
Hawa watan wangu inawezekana kabisa kufanya hyo mana huwa ni sheeeeeeda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…