Mmh

hii picha niliiona kwenye a/c ya CHRIS LUKOSI kule facebook nilicheka sana!
 
Kwa Mbeya wala hushangai. Na usikute wanaogelea na jeans trousers ama ma skirt ya charanga. Mbeya ni dunia nyingine ille kwa kila kitu!
Hahaha dah mpk na masket ya charanga..
Au ndo wanachambua kama karanga..
 
Kwa Mbeya wala hushangai. Na usikute wanaogelea na jeans trousers ama ma skirt ya charanga. Mbeya ni dunia nyingine ille kwa kila kitu!
Hiyo mbeya ya mwaka 80s labda
 
mshana jr hiyo picha sio Haiti kweli? Wajomba zangu hawajafikia hivi kwa kweli!
 
Nahisi chato hapo umeogopa tu kusema mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…