vitakua vinanuka hatari atakua kajisalimisha
Mara chache sana Malkia wangu nimekuona ukiguna bila kukomenti, kuna kitu hapa. Vipi mbona leo huongei unaguna tu.Mhhhhhhhhh
![]()
Hivi na mimi nikivaa magwanda kama hayo wale jamaa wa pale Lugalo na the like wataniachia kweli au wengine hawaathiriwi na sheria za wanajeshi kwa raia wema...??????????