mmh najihisi mie mgeni humu!!

Mhhh yaani ,unanipiga kibuti cha muda kwa sababu ya pesa za madafu za stevoh



Chocs ni just kiss tuu bana na haina masharti kabisa
Maombi ya nini sasa aise wakati mimi sihitaji maombi kwa sasa nahitaji maombi ya kupata kiss yako tuu


stevoh sijaenda kwa mganga yoyote bana ila ni muda tuu wala usinikane kaka yake wala kunikataa maana sisi ni ndugu eti na tunafichiana madhambi yetu

Baby amna namtania i love u
 
Last edited by a moderator:
hellow wakuu.
yawezekana nikawa nimetoa supraizi kwa watu.
nimewamithi munooo. ila nimeamua kurudi baada ya kumaliza mizunguko yangu.
nomba kuwasalimia wakubwa ambao niliwakuta na nadhani bado wapo japo sijajua kama nawakumbuka wote.
kwanza salam kwa kaka mkubwa Mr Rocky, Zion Daughter[my.. ila sijua kama kapata..] Erickb52[nina wasiwasi nimesahau namba ya mwisho], ladyfurahia[mama mchungaji sina uhakika kama anaendelea na wokovu] Kongosho, Rutashobolwa[nahisi nimekosea spelingi], mary hunbig[salamu spesho], Donn, charminglady, Dena Amsi, Asprin, Kaka Kiiza, Lizzy, afrodenzi, Teamo, Fidel80, Baba v, Fixed Point, Mzee wa Rula, Preta, paka Jimmy, Dark City, wise lady, Kaizer Bishanga, Preta gfsonwin Madame B[sijui kama anaexist na sacosi yake au amebadilika ila atakua amezeeka] The secretary[huyu atakua koko tayari] figganigga, Chocs[kashakua mmama huyu] Lily Flower[nadhani sasa hivi tumuite lily tree] Paw, Invisible[huyu bado namwogopaga] Nicas Mtei, Mentor[huyu anko najua mvi tayari]
n.k n.k n.k nadhani nikirudi nao watakua wamekuja
jamani eee maswali baadae mnanikaribisha maana hamuachi kuanzisha maoni mapya kama bunge la katiba :A S wink::A S wink::A S 11::A S 11:
wasalaaaaaam.
halafu nataka niulizie mwenyekiti wa naniliiiu... ndoa na maneno yanayofanana na hayo ni nani
nawasilisha.
Tutafutane.Miss you.
 
Back
Top Bottom