mmh najihisi mie mgeni humu!!

hellow wakuu.
yawezekana nikawa nimetoa supraizi kwa watu.
nimewamithi munooo. ila nimeamua kurudi baada ya kumaliza mizunguko yangu.
nomba kuwasalimia wakubwa ambao niliwakuta na nadhani bado wapo japo sijajua kama nawakumbuka wote.
kwanza salam kwa kaka mkubwa Mr Rocky, Zion Daughter[my.. ila sijua kama kapata..] Erickb52[nina wasiwasi nimesahau namba ya mwisho], ladyfurahia[mama mchungaji sina uhakika kama anaendelea na wokovu] Kongosho, Rutashobolwa[nahisi nimekosea spelingi], mary hunbig[salamu spesho], Donn, charminglady, Dena Amsi, Asprin, Kaka Kiiza, Lizzy, afrodenzi, Teamo, Fidel80, Baba v, Fixed Point, Mzee wa Rula, Preta, paka Jimmy, Dark City, wise lady, Kaizer Bishanga, Preta gfsonwin Madame B[sijui kama anaexist na sacosi yake au amebadilika ila atakua amezeeka] The secretary[huyu atakua koko tayari] figganigga, Chocs[kashakua mmama huyu] Lily Flower[nadhani sasa hivi tumuite lily tree] Paw, Invisible[huyu bado namwogopaga] Nicas Mtei, Mentor[huyu anko najua mvi tayari]
n.k n.k n.k nadhani nikirudi nao watakua wamekuja
jamani eee maswali baadae mnanikaribisha maana hamuachi kuanzisha maoni mapya kama bunge la katiba :A S wink::A S wink::A S 11::A S 11:
wasalaaaaaam.
halafu nataka niulizie mwenyekiti wa naniliiiu... ndoa na maneno yanayofanana na hayo ni nani
nawasilisha.

teh teh teh.... tulipotea wote wagwan....... ila karibu xana jamaa.... waliloeka nguo muda wote huo?
 
stevoh asante kwa kutukumbuka...mlipotea sana wakubwa...ila naamini mmerudi.
Pia narudi kundini soon.
Ila mke wangi Chocs yupo ananiwakilisha km kawa km dawa huku akilindwa na Mr Rocky a.k.a mkuu wa Mabazazi wa #Teambazazi
 
Last edited by a moderator:
Mndengereko huyu bado ni mgeni ana kamba mguuni Erickb52 kuna #teamrafiki bana karibu sana ujiunge na sheria za huku usiwe King Mswati kwa maana kuwa na wake wengi ila uwe na heshima na ndoa ya mke mmoja tuu na usiwe na mchepuko na usitamani tamani ovyo
 
Last edited by a moderator:
user-online.png
stevoh:A S wink::A S wink: to you sweety....... eti unahela? karibu yani japo ujanitaja karibu mweeee njoo huku nikupe juice badae nitakupa mbege.... Khantwe sihitaji mumeo tena Ntuzu... nipo na stevoh huku .... baby Mr Rocky i stil love but chunga ndoa yako kwanza nipo na kitu kipya ila nipo kwenye kautafiti kidogo kujua anahela au hana ? kama anazo kwa kweli kuanzia sasa mpaka atakapo rudi migodini nipo nae huyu mgeni wetu stevoh... mweee stevoh karibu sana nimefurahi kukuona:A S wink::A S wink::A S wink:
mmmh hapa unaingiapabaya mie niko makini kama fundi saa.....
yani wewee... una yako... usitake kuniletea vurugu hata sijatulia .... kakwambia nani mie mgeni???...ni mimi ndio natakiwa kukukaribisha... hivi unajua sakata la mzungu wewe??... hapo ulikua hujazaliwa ongea na wenye mji wakupe story ilivyokua....
 
yaani huku kwa haya majibu yenu napaogopa bora nikakae kule kwa wanasayansi na wafanyabiashara nadhan itasaidia...
kaka yangu Mr Rocky huyo babu uliyeeenda kwake kutafuta dawa kweli umempata na amekupata umekua kiwembe mpaka nafikiria tufute undugu...... haya ntarudi baadae maana huku hapakaliki....
 
Mimi hata sitaki story zako me nakutaka wewe nasikia eti unahela sana aisee
 
yaani huku kwa haya majibu yenu napaogopa bora nikakae kule kwa wanasayansi na wafanyabiashara nadhan itasaidia...
kaka yangu Mr Rocky huyo babu uliyeeenda kwake kutafuta dawa kweli umempata na amekupata umekua kiwembe mpaka nafikiria tufute undugu...... haya ntarudi baadae maana huku hapakaliki....

Jamani usiondoke nakupenda Mr Rocky nakupa kibuti cha siku mbili niwe na mgeni mwenyeji
 
Last edited by a moderator:
Jamani usiondoke nakupenda Mr Rocky nakupa kibuti cha siku mbili niwe na mgeni mwenyeji
Mhhh yaani ,unanipiga kibuti cha muda kwa sababu ya pesa za madafu za stevoh

French kiss.... a BIG NO

Afu utakua unahitaji maombi ww
Chocs ni just kiss tuu bana na haina masharti kabisa
Maombi ya nini sasa aise wakati mimi sihitaji maombi kwa sasa nahitaji maombi ya kupata kiss yako tuu

yaani huku kwa haya majibu yenu napaogopa bora nikakae kule kwa wanasayansi na wafanyabiashara nadhan itasaidia...
kaka yangu Mr Rocky huyo babu uliyeeenda kwake kutafuta dawa kweli umempata na amekupata umekua kiwembe mpaka nafikiria tufute undugu...... haya ntarudi baadae maana huku hapakaliki....
stevoh sijaenda kwa mganga yoyote bana ila ni muda tuu wala usinikane kaka yake wala kunikataa maana sisi ni ndugu eti na tunafichiana madhambi yetu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom