mmh najihisi mie mgeni humu!!

mmh najihisi mie mgeni humu!!

stevoh karibu sana tulikumith mno
Nina mke anaitwa Dena Amsi na mchepuko unaitwa miss chagga hao usiwaguse na wakati huo huo namkiss Khantwe ambaye ni mke wa Ntuzu na Kasinde mke wa Tized na wakati huo huo Tyta naona anakuja kwa kasi kuwa na nyumba ndogo nyingi Baba V ambaye alikuwa mwenyekiti kashapotea kwa kuwa aalikamatwa na mke wa mtu na Arushaone mpaka sasa ahjui mke wake ni nani wakati alikuwa King Mswati wa Chit chat Preta amezidi kupendeza na kwa sasa amekuwa katoto kabisa wakati huo huo Chocs amemkana Erickb52
cc kiwatengu, Mndengereko, Tized, utafiti, Ntuzu

Binamu binamu bunamu, unaniuzia kesi isiyokua na hakimu ujue

Mie bado m'bichiiiii... hata Erickb52 analimanya hilo!
 
Last edited by a moderator:
karibuuu nipo, ndugu yako kasafiri yuko kazi za nje

Hizo kazi za nje zimesjiliwa au bado hazina usajili na je zina malipo au anaenda kufanya bure

kati ya taarifa mbaya nilizozipata nji hizi kwamba kaka mkubwa unaanzisha sacoss yako ambayo naiona tayari ina wanachama zaidi ya watano na mwenyekiti na katibu.
kilichomkuta kaka yangu Arushaone polee alafu mie namwamini kaka erickb53 kua yuko vizur

Hii Saccos ina wanachama wengi tuu mkuu steveoh mweke huku Ntuzu, Khantwe, miss chagga Tized na Mndengereko na kiwatengu bado anafikiriwa

hakika hili tatizo!! ntarudi ngoja niende kwenye kikao chetu cha kamatti kuu si unajua tupo dhodhoma!!

Kaa huko huko huku mjini hakukufai maana wamechakachua mpaka makazi yetu
 
Last edited by a moderator:
Binamu binamu bunamu, unaniuzia kesi isiyokua na hakimu ujue

Mie bado m'bichiiiii... hata Erickb52 analimanya hilo!
Chocs my binamu am so ssssssoooooorrrryyyy sikujua uzee mwisho ni kisongo hapa mjini kila mtu honey
 
Last edited by a moderator:
stevoh karibu sana tulikumith mno
Nina mke anaitwa Dena Amsi na mchepuko unaitwa miss chagga hao usiwaguse na wakati huo huo namkiss Khantwe ambaye ni mke wa Ntuzu na Kasinde mke wa Tized na wakati huo huo Tyta naona anakuja kwa kasi kuwa na nyumba ndogo nyingi Baba V ambaye alikuwa mwenyekiti kashapotea kwa kuwa aalikamatwa na mke wa mtu na Arushaone mpaka sasa ahjui mke wake ni nani wakati alikuwa King Mswati wa Chit chat Preta amezidi kupendeza na kwa sasa amekuwa katoto kabisa wakati huo huo Chocs amemkana Erickb52
cc kiwatengu, Mndengereko, Tized, utafiti, Ntuzu

duh kwa hali hii ukimwi hauwezi kuisha
 
Last edited by a moderator:
duh kwa hali hii ukimwi hauwezi kuisha

ukimwi upo huko nje humu JF hasa MMU hamna ukimwi hata, utaumizwa tuu kimapenzi ila ukimwi hakunaga, ndo kama hivi akina sie tunakula ujana tuu
 
Kwa kweli kama hujazoea matusi huku ni kaaaaaazi kwelkweli.
 
KAMA HUTAKI MASWALI NGOJA NITOKE NIENDE KWENYE JUKWAA LANGU
MAANA HAPA NILISHAHAMA KITAMBO NINAKUJA KUSHANGAA TU :A S-eek:
nimesema sitaki mathwali mbona huelewi??
haya najua niko vyema na nimenenepa sasa hivi!!
 
Chocs my binamu am so ssssssoooooorrrryyyy sikujua uzee mwisho ni kisongo hapa mjini kila mtu honey

Hahahahahaa

Nimepokea msamaha kwa mikono miwili... Ila kuna mabom pia!
 
Last edited by a moderator:
hellow wakuu.
yawezekana nikawa nimetoa supraizi kwa watu.
nimewamithi munooo. ila nimeamua kurudi baada ya kumaliza mizunguko yangu.
nomba kuwasalimia wakubwa ambao niliwakuta na nadhani bado wapo japo sijajua kama nawakumbuka wote.
kwanza salam kwa kaka mkubwa Mr Rocky, Zion Daughter[my.. ila sijua kama kapata..] Erickb52[nina wasiwasi nimesahau namba ya mwisho], ladyfurahia[mama mchungaji sina uhakika kama anaendelea na wokovu] Kongosho, Rutashobolwa[nahisi nimekosea spelingi], mary hunbig[salamu spesho], Donn, charminglady, Dena Amsi, Asprin, Kaka Kiiza, Lizzy, afrodenzi, Teamo, Fidel80, Baba v, Fixed Point, Mzee wa Rula, Preta, paka Jimmy, Dark City, wise lady, Kaizer Bishanga, Preta gfsonwin Madame B[sijui kama anaexist na sacosi yake au amebadilika ila atakua amezeeka] The secretary[huyu atakua koko tayari] figganigga, Chocs[kashakua mmama huyu] Lily Flower[nadhani sasa hivi tumuite lily tree] Paw, Invisible[huyu bado namwogopaga] Nicas Mtei, Mentor[huyu anko najua mvi tayari]
n.k n.k n.k nadhani nikirudi nao watakua wamekuja
jamani eee maswali baadae mnanikaribisha maana hamuachi kuanzisha maoni mapya kama bunge la katiba :A S wink::A S wink::A S 11::A S 11:
wasalaaaaaam.
halafu nataka niulizie mwenyekiti wa naniliiiu... ndoa na maneno yanayofanana na hayo ni nani
nawasilisha.

akchware karibu tena
mimi ni taita sana tu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom