Mmh! Mpangaji mwenzangu majanga

Mmh! Mpangaji mwenzangu majanga

Kama yumo humu basi,dukuduku limenifika shingoni nikaona nishee upendo!
Nimeweka hapa ili muwe makini na hawa viumbe!Fikiria huyo jamaa yake pengine ndiye humlipia kodi halafu anajua baby wake muhangaikaji anafanya ujasiliamali!
Asilimia 65 ya Hawa wajasiliamari wanafanyaga hizo,watu wanapaa Hadi China anakaa mwezi then anarudi na mzigo kiasi wa kuzugia
 
Kabisa mkuu,nimejifunza jambo kwa ushuhuda kabisa!
 
Wa h Tigershark,
Wa hivi ni wengi sana wanasafiri Nairobi, kampala, south Africa, china, dubai na Uk. Wakirudi wanakuja na vifurushi vua kuzugia biashara za nguo, viatu na hereni. Wanaposti Insta, whatsapp, na twitter. Si rahisi kuwaelewa kama hujambamba.
 
Wa h

Akina Poshqueen
 
Back
Top Bottom