Mmh! Mpangaji mwenzangu majanga

Mmh! Mpangaji mwenzangu majanga

Vipi kuhusu huyo baharia ambaye ndiye mtu wake?Huoni anaingizwa mkenge?Wakati huo huo huenda jamaa analipia kodi huku akivimba amepata mwanamke mchakarikaji kumbe garasa!Tunapeana funzo ili na wengine wafunguke kuwa makini na wapenzi wao!Halafu kwa nilivyosikia wadada wengi huwa wanasafiri kwenda huko maeneo yenye migodi kuuza miili yao maana wanasikia wanaume wa huko wanatapwanya fedha hovyo!
We mwanaume kuingizwa mkenge au mjusi atajua mwenyewe cha muhimu kakwambia anatafuta mtaji, alipiwe kodi asilipiwe pesa aitoki kwako kwani shida ikwapi? Acha umbea
 
Ningeshangaaa kama usingemtafuna .


Najaribu kuwaza..kalipia room 10000..... Mteja wake atalipa tena iyoiyo 10000....

Aahhh kumbe jamaa analipia room , nabado atalipia Gharama...


Wanawake wana akili balaa !!! Hahahahhaa ni utafutaji .
Yeye akilipia room kwa hela ya siku inaweza ikazaa mara tatu mpaka nne kwa siku moja. Mbona hata town hapa Dar kwenye barabara zilizounganishwa na guest houses wapo wengi sana na ndio mitindo yao hiyo?
Town watu wanasaka pesa kwa kila nama mkuu
 
Mi nilikula mpangaji wangu. Kosa kubwa! Kodi ilipoisha akataka kunikopa! Nilimvumilia mwezi mmoja, wa pili nikampa notisi kuwa nataka kufanya ukarabati nibadilishe biashara, ndio ikawa ntolee!
Sasa wewe ulitaka kula tu bila kuliwa,haiwezekani!!!😅😅😅
 
Hapo mwisho ndo umeharibu kitendo cha kumwomba mchezo ingali unajua ni kahaba.
Ushakufa mkuu,njoo uchukue rambirambi yako kabisa wasije wakala watu wwngine ukiondoka huku

Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wanakuuuufa kila siku kwani kwasababu ya kununua mbunye?? Acha kueneza habari za uongo na kuwapanikisha watz ntatoa taarifa kwa wizara husika
 
Hapo mwisho ndo umeharibu kitendo cha kumwomba mchezo ingali unajua ni kahaba.
Ushakufa mkuu,njoo uchukue rambirambi yako kabisa wasije wakala watu wwngine ukiondoka huku

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa makahaba wenye plan za future huwa wako makini na kutumia kinga,pamoja na hayo sikuuza mechi!Nilitumia mpira!
 
We mwanaume kuingizwa mkenge au mjusi atajua mwenyewe cha muhimu kakwambia anatafuta mtaji, alipiwe kodi asilipiwe pesa aitoki kwako kwani shida ikwapi? Acha umbea
Mmh umeguswa sana,au nawewe unapitia humo humo?
 
Eldu 65 hesabu ya coaster kwa siku mikoani, duh kweli wanawake wazuri wana mtaji
Hapo inamaana kama akipata wateja watatu kwa siku,hao wateja watalipia 30,000 chumba!Demu kalipia 10,000 so hapo anabaki na 20,000 nje ya malipo ya ngono!Na kila mmoja kama atalipia huduma 15,000 maana yake hapo ni 45,000!Ukijumlisha na ile 20000 jumla inakuwa 65,000!Hapo bado kama hajapata mteja wa kulala maana dau linakuwa kubwa!Kiufupi wanawake wazuri mtaji wameukalia!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Niliporejea nikamkuta yule dada pale kibarazani amekaa anajipaka rangi kucha!Nikamsalimu safari hii akaitika kisha akaniomba tuongee!Alinisihi sana nisiwaambie majirani kwani yuko kwenye utafuta na maisha kwake si rahisi!Akasema ametafuta mtaji sana na amekaribia kufikisha lengo na akifikia hapo basi ataachana na shughuli hiyo ya ukahaba!Basi nikamwambia asijali na kuwa siri yake iko salama mikononi mwangu!Tukapiga story mbili tatu pale na katikati ya maongezi namimi nikaomba fair mchezo walau mara moja!Asubuhi hiyo hiyo nikaenda kumtafuna"

Dah

Sent using Jamii Forums mobile app by My phone
 
Sasa wewe ulitaka kula tu bila kuliwa,haiwezekani!!!😅😅😅
😀😀😀 Halafu alijilengesha mwenyewe kimasikhara hivi. Nilienda kutazama mambo ya kurekebisha kwenye nyumba ya jirani yake kama maandalizi ya mteja mpya. Akanikaribisha chai tu ikaleta na hayo mengine.
 
Back
Top Bottom