Ngunichile
JF-Expert Member
- Nov 27, 2019
- 356
- 523
Hii thread ulipaswa kuwa mchango kwenye thread ya “kula tunda kimasihara”
Sent from my iPhone using JamiiForums
Sent from my iPhone using JamiiForums
Dukuduku tu kukaa nacho moyoni nimeshindwa!Nahisi nikikuta kahama,naweza toa siri bila kudhamiria!Yaani huwa kila nikiongea na jirani niliyemwachia funguo huwa kinanikaba koo kusema ila najikaza!Mjinga kweli ulimwambia siri ile iko kwenye mikono salama sasa kiherehere cha kuileta huku ni nini..?
Sent using Jamii Forums mobile app
Na je kama ni member humu na amepitia huu uzi?Usikonde nitakusababishia PM,ila mpange kibaharia asijejua nimekupigia pande!
Huyo binti ni mzuri aisee,halafu nilikuwa namtamani kitambo ila sasa ndio hivyo nilikuwa nakausha tu maana jamaa yake ni kijeba haswaa!Kwa hiyo ulishindwa kabisa kuzuia tamaa zako hadi ukaamua kulala nae.
Ulitumia condom?
Kama yumo humu basi,dukuduku limenifika shingoni nikaona nishee upendo!Na je kama ni member humu na amepitia huu uzi?
Haha ila kuna somo humu juu ya hawa tunaotoka nao wakituaga wanaenda mikoani kibiashara. 😰😰
mkuu nisaidie namba yake na mimi nichangie katika kufikisha malengo yake ya kupata mtaji
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo inamaana kama akipata wateja watatu kwa siku,hao wateja watalipia 30,000 chumba!Demu kalipia 10,000 so hapo anabaki na 20,000 nje ya malipo ya ngono!Na kila mmoja kama atalipia huduma 15,000 maana yake hapo ni 45,000!Ukijumlisha na ile 20000 jumla inakuwa 65,000!Hapo bado kama hajapata mteja wa kulala maana dau linakuwa kubwa!Kiufupi wanawake wazuri mtaji wameukalia!Ningeshangaaa kama usingemtafuna .
Najaribu kuwaza..kalipia room 10000..... Mteja wake atalipa tena iyoiyo 10000....
Aahhh kumbe jamaa analipia room , nabado atalipia Gharama...
Wanawake wana akili balaa !!! Hahahahhaa ni utafutaji .
Sikuuza mechi!
Nenda kapime corona sasa. Maana hujui kashikwa shikwa na watu wangapiHuyo binti ni mzuri aisee,halafu nilikuwa namtamani kitambo ila sasa ndio hivyo nilikuwa nakausha tu maana jamaa yake ni kijeba haswaa!
Ni yule sio yureYure demu wa humu atawamaliza wengi
Memento, Homo!!!
That's too bad man. Nilishawahi kudate na demu nae alikuwa anafanya ishu za kusafirisha viatu na vitenge pande za Singida, Tabora akiniambia kuwa anafikia kwa aunt yake na sometimes anampa simu naongea nae. Alafu ikifika mida ya saa tatu nne hivi usiku kumpata inakuwa shida sana au akipokea kwa mbali kuna kuwa na makelele kama ya bar hivi (wanywaji tunaelewa). Kiufupi nilishamfikiria au anajiuza huyu nini? Maana mazingira yanajirudia kila siku mida hiyo hiyo. 🤔🤔Kama yumo humu basi,dukuduku limenifika shingoni nikaona nishee upendo!
Nimeweka hapa ili muwe makini na hawa viumbe!Fikiria huyo jamaa yake pengine ndiye humlipia kodi halafu anajua baby wake muhangaikaji anafanya ujasiliamali!
Vipi kuhusu huyo baharia ambaye ndiye mtu wake?Huoni anaingizwa mkenge?Wakati huo huo huenda jamaa analipia kodi huku akivimba amepata mwanamke mchakarikaji kumbe garasa!Tunapeana funzo ili na wengine wafunguke kuwa makini na wapenzi wao!Halafu kwa nilivyosikia wadada wengi huwa wanasafiri kwenda huko maeneo yenye migodi kuuza miili yao maana wanasikia wanaume wa huko wanatapwanya fedha hovyo!Mwanaume hauna kifua kabisa sasa kisa cha kuja kutusimlia woooote tz na nje ya tz ni nn?? Wewe ndo wa kutunza siri kwa majirani wewe!!!