Tigershark
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 7,051
- 12,572
- Thread starter
- #101
Bibi yako!Kakufundisha nani hii hadithi?
Bibi yako!Kakufundisha nani hii hadithi?
Makubaliano nisiwaambie wapangaji wengine!Sijafanya hivyo,hapa hawezi kujulikana!Sasa mbona umevunja ahadi mliyo wekeana kwamba utamlindia Siri na alikupa fear
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee hako ka albino kwenye avatar yako kananipa wakati mgumu mno mkuu .Ujamaa na kujitegemeA..
Msafwa,
Uporoto, Mbeya..
alikuwa ana miaka mingapi?Duhh napakumbuka Sana hapo Spice lodge jirani na Sky Line au soko jipya nimewahi kutunukiwa bikra hapo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ningebaki hapo ningeendelea kutafuna!Wewe na yeye vichwa vyenu na akili zenu sawa, kwahiyo nawewe ukaunga tela daa safari bado m defu, kwahiyo kuhama hapo baada ya kumtafuna ndiyo ujanja, wewe unge endelea kumhesabia mabuzi anayoingia nayo hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmh,usinipe pressure bure!Ila itakuwa sio,kwani wewe baba nani vile?Hapa nlipopanga kuna jamaa aliaga anaenda geita kikazi na msista huwa anasafiri kufanya biashara ya nguo...sasa sijui niunganishe matukio?
Ndio,huwa siuzi mechi kizembe!
Tembea uyaone,ukiwa umepigwa pin sehemu moja tu mambo mengine unaweza kuona kama mapicha picha tu!Hii chai, ulikodiwa kumfuatilia huyo dada
Bidada ni mzuri aisee!Lakini pia ni mke mtarajiwa wa baharia fulani,huenda akaja kuolewa na mwanaJF!
Sasa watu wasipoleta habari humu jukwaani tutasoma. nini? Au wewe ulitaka ziee zinakuja habari za aina gani humu?Mjinga kweli ulimwambia siri ile iko kwenye mikono salama sasa kiherehere cha kuileta huku ni nini..?
Sent using Jamii Forums mobile app
