Mmh mapenzii bhasiii tena...

Mmh mapenzii bhasiii tena...

umekosa mchumba kwa kuogopa mimba! Alikuwa anakutega tuuu
 
Kubali yakusumbue sasa baadae utayazoea tu! Hata kama utafumania utaona kawaida tu! Ila yasipokusumbua sasa baadae itakuwa shida sana mimi yalinisumbua enzi hizo ila sasa hata akisema tuachane hata sigeuki nyuma kesho nakuwa na mwingine nae akizingua wala sina haya ya kulumbana nae nasonga mbele kubali yakutese sasa ili yakukomaze kifikira.
Point saana hii mkuu
 
Back
Top Bottom