Mmh!, Lulu..... noma

Kazi ipo hapa. Tumuombee labda atabadilika kabla hajaharibikiwa zaidi
 
Lakini wiki iliyopita alicheki, mdudu mdogo haukuonekana
 
Hizi ni dalali kuwa Kabinti haka kamekwisha kolea kwa kula nyama za watu-hakawezi kuacha.
 

Attachments

  • Lulu in thong.jpg
    102.3 KB · Views: 69
mwacheni huyu binti, yuko kwenye umri wake sahihi kwa yote anayofanya. Kila mmoja wetu kapitia mambo ya umri huu, kwa wale ambao hawakufanya yanayotakiwa, ndo hao tunaona wanakamatwa gesti au ugoni wakiwa karibu na miaka 50 sababu wanafanya mambo ambayo walitakiwa kufanya katika umri wa Lulu, wengine watu wazima ndo wanakumbuka kwenda disco matokeo yake wanakutana na watoto wao waliotoroka majumbani. halafu wengine wanamkandia kwa roho mbaya zao tu
 
lugha ya staha kidogo,kuna uvumi pia anatumia laini 3 siku hizi ( simu bana kwani wewe ulidhani nini ? ) hahahaha!

moja mdomoni
ya pili na tatu malizia mwenyewe,,,,,,,,,,,,,,,,,,,!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
 

huo ndo uongo nisioutaka maneno ya kujipa moyo kwa walioharibu wengine wakianza hivyo kama mtoto huyu hawaachi mpaka wanaingia kabulini na huu ndo ukweli mkuu!
 
Sio kweli. She should not be doing this, this is wrong. na ukisema ni sawa sababu ya miaka yake unafungulia ujinga mlango.
 
hata kanatakiwa wakati wa sherehe za miaka 50 kaitwe kavikwe nishani ya uvumilivu na kupiga kazi mwanzo mwisho..hivi ndo vipaji maalumu jamani..what else do u need my dear country tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…