Mmeshindikana,rudini duniani!

Mmeshindikana,rudini duniani!

Jaguar

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2011
Posts
3,440
Reaction score
1,029
Shetani alikuwa anaadhibu watu wake huko kuzimu.Aliwachukua watu akawatupia kwenye tanuri la moto mkali,watu walilia mno isipokuwa watu watatu tu,wao waliomba wapewe makoti mazito wakidai baridi imezidi.Shetani akawapa makoti,halafu akabadili adhabu,akashusha baridi la hatari,watu walitetemeka na kugonganisha meno mpaka wakajing'ata ndimi isipokuwa wale watu watatu tu,wao walivua yale makoti mazito waliyopewa wakidai joto limezidi.Shetani kwa mshangao akawauliza majina yao,mmoja wao akajibu;mimi ni ADOLF HITLER,kushoto kwangu ni SADDAM HUSSEIN na huyu kulia ni OSAMA BIN LADEN.Shetani akasema;mmeshindikana,nitawarudisha duniani!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom