Mmejitahidi sana sana kumtetea BABU (Dr. Slaa), lakini...

Who cares about babu. Tunachotaka ni kuwa CCM itoke, na iwapishe wengine wajaribu kuliendesha hili shamba. Miaka 50 imepita na hakuna jipya, sasa waje wengine nao tuone watafanya nini. Haijalishi chama wala itikadi, anybody but CCM
 
In the land of the blind the man, with Oneis King. When the TANU (CCM )came into power we were led by highly qualifiedacademics now we being led by CCM members who only have greed and self interestat heart and not concerned about the country or it's people. Too much MP's withno or little education' like Mr. Alcohol. We will become a vegetable republic.
 
Nape hongera sana kwa kazi unayoifanya, ila sijawa na uhakika kama ndio namna yako ya kukisaidia chama, natambua kuwa watanzania wanataka kuona unafuu wa maisha, wanataka waone wale waliotajwa kama mafisadi ambao wamechangia sana kuwafikisha katika umaskini walionao tena wakiwa na ushahidi wanachukuliwa hatua,wanataka kujiona wako huru na wana usalama wa maisha yao dhidi ya polisi ambao wamekuwa wanadhulumu roho zao kila leo, nadhani ukiwa mtu mwenye nafasi nyeti kama hiyo ndani ya chama unatarajiwa kwa makubwa sana, at the end of the day wewe ni mwanasiasa
 
Mh Nape Jiulize pia kwa nini unatukanwa na kukejeliwa?

Jirekebishe wewe ni kijana unayetakiwa kuwa na mwamko mpya hata kama uko CCM. Siasa si vita na wala si matusi.

Kumbuka maneno uliyoyasema Bububu wakati wa uchaguzi wa uwakilishi! Ni maneno ya kusemwa na mtu kama wewe?

Kumbuka CCM ni jina tu, kinachotuunganisha ni Utanzania wetu. Mdomo wako usiwe sababu ya wengine kuangamia ila inapaswa kuwa ni neema kwa wanyonge pia.
 
Maneno ya kejeli ya Nappe dhidi ya dr. slaa hasa kwa kumuita babu ni dhihaka kubwa na sio heshima kwa kijana kama yeye, kweli ukitaka kuifahamu tabia halisi ya mtu mpe pesa au madaraka.
Wewe unaomuona Slaa ni kijana? Mzee kama yeye kwanini asiitwe babu?
 
Yaani ukishaingia kwenye siasa basi kichwa unakipeleka likizo?

Haaaaaaaaaaaa!!,kwa hiyo kwenye hiyo red unamaanisha hata waliongia kwenye siasa kama vile,Dr.Slaa,Mbowe,Lowasa,Zitto,Mnyika,Mdee,Membe,Mwigulu,na wengine wote wenye tiketi ya siasa????,thibitisha hili Mkuu tafadhali.
 
Nnauye Jr

Toka usifiwe na ndugu yako kikwete kuwa unajitahidi kujibu hoja basi sasa ni kama umepotoshwa kwa kuandika hata ujinga.

Kama katiba yako inasema ukiwa mwanachama wa chama kingine basi uanachama wako unakoma hapohapo, kuna haja gani ya kurudisha hiyo kadi?

Kwa sababu hata akiitupa hakuna atakaye itumia tena. Ime expire. Kijana mwenzetu unaongea pumba zaidi kadir muda unavyoenda mbele. Hivi ni kazi kubwa ya cheo chako ni nini hasa?
 
When are we going to take really issues at heart? Some of us don't see the benefits of this prevailing political status quo! Khaaa!
 
Haaaaaaaaaaaa!!,kwa hiyo kwenye hiyo red unamaanisha hata waliongia kwenye siasa kama vile,Dr.Slaa,Mbowe,Lowasa,Zitto,Mnyika,Mdee,Membe,Mwigulu,na wengine wote wenye tiketi ya siasa????,thibitisha hili Mkuu tafadhali.

Matendo yanaongea zaidi kuliko maneno...wana siasa wetu utafikiri hawana vichwa vya kufikiria. Ni mambo yasiyo na agenda tu toka asubuhi mpaka wanalala...tuanze kuongea yale yenye kutuhamasisha...hizi siasa za maji taka na vijembe zinamsaidia nani??? Nahisi sio watanzania...ni watu wachache wanaonufaika nazo.
 
apa babu hateteeki!,kalikoroga,ni mnafki,mzandiki,mhuni mzee kuna magwanda umu naona wanajitahid kumnasua ila lishamnasa na limemganda ilo!,unafki mwisho ni aibu
 
kumbuka babu alimpa mimba bibi yako

wewe ni looser. Hebu soma ulicho andika alafu jiulize kama kweli una akili. Lete hoja ya kumtetea huyo dr, lakini the more you insult nape the more it proves he is a better man than all of you. By the way nape has some proof kuwa dr is still a member of ccm. Basi itabidi dr aje hapa kujisafisha, au yatakuwa yale yale ya kanisani na wake za watu
 
Sidhani kama wewe ni Nape kweli ninayemjua.

Mbona umeleta hoja hafifu ambazo kwa namna zilivyo zinatakiwa zitolewe na mwanachama wa CCM ambae anasoma shule ya kata.

Kijana, watanzania tunahitaji majibu ya matatizo yetu na si nani anamiliki kadi ya chama gani. Kuna hoja nyingi za msingi kwa cheo chako ulitakiwa uziseme acha kuzungumzia watu au viongozi wa vyama leta sera mpya yaani unazani kuwa na kadi ya ccm ni kosa kubwa kuliko EPA, RICHMOND, MEREMETA, SWIsS BILLIONS RADA Ile mbovu, rushwa ya kutisha ndani ya chama chako.

Kijana, kama umeishiwa sera kajipange hatumtetei Slaa yaani chama chako kimeiharibu sana nchii kuliko chama chochote mlichokifanya kwa miaka 50 ni kumtoa mgonjwa wodini na kumpeleka ICU. mara ngapi nepi unatukana unadhani chanzo cha matusi yako ninini?

Kuishiwa hoja baada ya wewe kuona kuwa unalolisema halina tija kwa watanzania. Nakushauri endelea kupiga hizo perdiem za walala hoi huku ukifikilia namna gani utakijenga chama si kwa hoja finyu na za kihuni kama hizi.

CHADEMA wanakuja na mwanga wa kutatua matatizo ya wananchi ndo mana watanzania wanaufuata mwanga huo nyie kalieni tu polojo make tumewazoea polojo toka mitaani hadi ikulu.
 
apa babu hateteeki!,kalikoroga,ni mnafki,mzandiki,mhuni mzee kuna magwanda umu naona wanajitahid kumnasua ila lishamnasa na limemganda ilo!,unafki mwisho ni aibu

Kubwa ili tuamini hayo mambo amwage document hizo alizosema,maneno matupu hayavunji mfupa,hii bado inawapa nafasi watu wanaomtetea kuonekana wako sahihi!
 
Nape naona unaendelea kujichanganya zaidi, umesha sema mtu akitoka sisimweli uanachama wake umekufa bado unataka kutwambia ni Pandikizi tena wakati uanachama wake umekufa! Na unavyo jichanganya zaidi ni kusema kuwa Dr ana kadi ya ccm na bado wanailipia wakati umesema uanachama wao umekufa!

Hivi kwa nini usi washitaki kwa msajili kwa sidhani kama ni sahihi mtu kuwa mwanachama wa chama zaidi ya kimoja!

Kuonesha jinsi ulivyo muongo umeshindwa kutaja majina mengine ya hao vigogo wa cdm unao wa tuhumu, yani hapa ndio umeonesha una ugua kabisa!

Hivi sisimweli hasa wewe ni wakuficha majina ya hao vigogo? Huo ni uongo mtupu nyie mgesha ropoka!

Kingine ni kwamba Nape unajaribu kututoa kwenye mstari ili tusahau
* Ajira kwa vijana
*Siku 90 za mafisadi
*Majangili wa pembe za ndovu
Naomba ushughulike haya kwanza!

Tunajua Dr ana kufanya usipate usinginzi na hakika haumuwezi hata chembe!

Halaf swala la kadi maana aliinunua huwezi kumpangia cha kuifanya hata akiichoma ni yake!

Nape una hali mbaya sana!

Bora umekiri bila kujua kuwa ccmweli ni wataalamu wa kuweka mapandikizi!

Hivi kadi ya ccj unayo?
 
Nape wakati mwingine jaribuni kuja na mijadala ya maana kwa nchi yetu, kama dr slaa anaichangia ccm si ndo vizuri kwa chama chako? Mi nakupa ushauri wa bure kwamba badala ya kuja na huu upuuzi weungekua unatuorodheshea utekelezaji wa miradi mliyoahidi na chama chako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom