Mmeiona Gari yangu Wana JF??

bofloooooooooooooooo tupo kazini bana! nina mashaka na bosi wako aisee lol!
 
bofloooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
 
Muonyesha DHAIFU maana ho kitu haachi
 
Boflo unatisha mjukuu wangu, Vibabu kama mimi, unatufanya twende bafuni
mara mbili mbili!!! Kweli gari yako imeumbika!! Hasa paaajaaa!!!!
 
Na huyo mkalia gari naye ametokea Dubai au kule kwetu BUBUBU
 
​yani ukinunua ilo gari unapewa na uyo demu kama bonas au???
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…