LaplaceTransformation
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 776
- 679
Ningependa kujua huu mmea unaitwa Bitter Cola unaitwaje Kwa kiswahili na kama mbegu zake zinaweza kupatikana DSM
Weka picha.Ningependa kujua huu mmea unaitwa Bitter Cola unaitwaje Kwa kiswahili na kama mbegu zake zinaweza kupatikana DSM
Hizi ni tambuu, nyekundu ndani zinapatikana kwenye maduka ya uhindini na walaji wakubwa ni wahindi, ni ngumu hivyo mlaji hulazimika kuzikata vipande vidogovidogo na inasemekana zinamanufaa makubwa kwa afya ya mlaji.
Asante sana mkuu.Hizi ni tambuu, nyekundu ndani zinapatikana kwenye maduka ya uhindini na walaji wakubwa ni wahindi, ni ngumu hivyo mlaji hulazimika kuzikata vipande vidogovidogo na inasemekana zinamanufaa makubwa kwa afya ya mlaji.
Ndiyo maana wahindi wanazipenda, kuzaana kwa wahindi si haba hawajambo.Vipi unaongeza nguvu za kiume ?
Kama hauongezi sion umuhimu wa kuendelea kuwepo kwenye huu uzi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Pita hapa kwanza kabla haujaondoka!Vipi unaongeza nguvu za kiume ?
Kama hauongezi sion umuhimu wa kuendelea kuwepo kwenye huu uzi
....Ni Kola Sio Cola....Ningependa kujua huu mmea unaitwa Bitter Cola unaitwaje Kwa kiswahili na kama mbegu zake zinaweza kupatikana DSM
Yote ni sawa, ,[emoji116][emoji116]....Ni Kola Sio Cola....