Mmea wa Bitter Cola

Mmea wa Bitter Cola

CAEFC7CD-8BD8-4A0F-8207-AA1EEB8983B2.jpeg
DD8EEE24-DBAA-4198-A84F-2DAA879B5FA4.jpeg
 
Hizi ni tambuu, nyekundu ndani zinapatikana kwenye maduka ya uhindini na walaji wakubwa ni wahindi, ni ngumu hivyo mlaji hulazimika kuzikata vipande vidogovidogo na inasemekana zinamanufaa makubwa kwa afya ya mlaji.
Asante sana mkuu.
 
Vipi unaongeza nguvu za kiume ?

Kama hauongezi sion umuhimu wa kuendelea kuwepo kwenye huu uzi
 
Back
Top Bottom