Mme/mke kuwa in the same or different professional; kipi bora?

Mme/mke kuwa in the same or different professional; kipi bora?

Haaaaaaaaa
Mwanamke ni lazima kudanganywa bwana!! Mfano, ukioa doctor of medicine wakati mm nina madigrii ya biashara ie BA-AF na MBA.... Hapo ni kumpiga mauongo tu, maisha yananoga!!!!

Kungekuwa na thumbs down hapa ningekupa hata kumi.
 
Back
Top Bottom