jerrysonkiria
JF-Expert Member
- Sep 5, 2014
- 2,232
- 2,884
ULIPO huko, toka nenda kampe somo samattaNani amekuambia mimi nipo bongo?
ULIPO huko, toka nenda kampe somo samattaNani amekuambia mimi nipo bongo?
HahahahahahahahahahahahaUnaharibu thread wewe fala, simba walimchukuwa wapi?
we unataka apige chenga na kuonyesha mbwembwe au unataka ushindi wa magori?Yupo genk kama mtoto yatima, ajiamini huyu dogo. Magoli yake mengi ni kudumbukiza tuu.
Huyu dogo tatizo lake hajui kushangilia,
Anawarukia mchezaje mwenzake kama nyani