Mmasai na Kanisa...

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,413
Masai kaenda kanisani kaishia nje, PASTOR akauliza ''Yero mbona huingii unakaa NJE?''
MASAI akajibu ''Unasani mi MUJINGA? si nasikia SIMBA wa YUDA iko ndani inanguruma!!!!
 
HahaaahahahahahahahahahahahahahahahahahahaaAaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!

Sent from my BlackBerry Porshe design using JamiiForums
 
hawa wa siku hizi wanaogopa simba ndio maana wanakimbilia town
 
nimeipenda, ila mmasai koko huyo maana twasikia mmasai haogop simba lol
 
Sisi hajakimbia ssimba lafiki, serkali mefukusa sisi ili kuunda mbuga sa wanyama, kama haiamini ulisa majeshi yetu maka 1987 Laisi Munyi na Musuya iliamuru jeshi isambaratishe kinyama ile masai ya mkoani Kilimanjalo, ilinyanyasa sana, metesa sana kina mama kwa kubakwa, maboma yote metia moto, likoputa metaanyisha ng'ombe angani ili masai ihame ikiamini ni mungu nataanya ng'ombe, ndio ikapitakana Mukomasi Neshino Pak
 

Nimependa hii.
 

pole sana rafiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…