Mmasai na docta

fundiaminy

JF-Expert Member
Jun 4, 2009
355
51
Mmasai moja alikwenda hospitali na baada ya dokta kumpima ilibidi amdunge sindano ya makalio.wakati dokta anamdunga sindano mmasai alimfokea dokta na kumwambi "yero! Kwani wee apana kuona hio tundu hapo nyuma mpaka unatoboa ingine??"
 
We, we, we, wakikusikia wenyeweeee!

Shauri yako!

Duh! maskini Mmasai keshakuwa na matundu mawili tena.
 
:becky::becky::becky::becky::becky: teh teh teh :becky::becky::becky:
 
Mmasai moja alikwenda hospitali na baada ya dokta kumpima ilibidi amdunge sindano ya makalio.wakati dokta anamdunga sindano mmasai alimfokea dokta na kumwambi "yero! Kwani wee apana kuona hio tundu hapo nyuma mpaka unatoboa ingine??"

hahahaaaaaaaaaaa hiyo kali kinoma anataka atoboe SAKAYONSA???
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom