Mmasai mnywa gongo na baa medi..

Mmasai mnywa gongo na baa medi..

kifuniboy

Senior Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
191
Reaction score
17
Mmasai aliamua kwenda kutembea jijini DAR..baada ya kukaa kwa muda wa mwezi mmoja hivi alimiss sana pombe yake na hakujua mahali pa kuipata...,siku moja akaamua kwenda Bar Maeneo ya kinondoni shamba...na mazungumzo yalikuwa hivi..,
..Baa medi-halloo karibu
..mmasai-aksante mamaaa.... ishiiii
..Baa medi-nikusaidie nini..!!
...mmasai akaangalia meza ya nyuma na ya mbele kwa haraka sana...,kisha akamwambia baa medi letea mimi kama ile..,akimaanisha safari kwani mteja wa meza ya mbele alikuwa anakunywa safari..
Baa medi...kaenda karudi na bia ya safari akamwambia mmasai hii hapa akwiii..
..Mmasai-Haya bomoa..!!(fungua)
..Baa medi-kafungua psiii
..Mmasai-sasa pima ya hansini.,
 
Duh, kweli wanadumisha mila ile wengine walisha shindwa.
 
Haya bana mzee wa Kifuni -- naamini itakuwa ni ile ya pale juu kidogo ya Umbwe. Nimekunywa sana mbege pale enzi za Mti safi!
 
siku hizi pesa mbele huduma inafuatia, hiyo labda itakuwa ni kijijini kila mtu anamfahamu mwenzake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom