Son.j JF-Expert Member Joined Jan 10, 2013 Posts 1,030 Reaction score 2,450 Jan 15, 2013 #1 Mmasai 1 alpeleka redio kwa fundi, fundi alpofungua mende wakatoka masai akasema "xaxa mbna unawatoa watazangaji" fundi akajibu "wana njaa kinouma."
Mmasai 1 alpeleka redio kwa fundi, fundi alpofungua mende wakatoka masai akasema "xaxa mbna unawatoa watazangaji" fundi akajibu "wana njaa kinouma."
Prince Ortega Member Joined Oct 28, 2012 Posts 38 Reaction score 4 Jan 15, 2013 #2 tushazijua hzo labda jaribu tena