mmasai atoa kali ya mwaka

mmasai atoa kali ya mwaka

wanna

Member
Joined
Dec 16, 2012
Posts
76
Reaction score
16
nipo hapa ofisi za startime
sasa kaja mmasai kaacha watu hoi baada ya kusema:
mudumu patia ile naitwa kinga ya mafusi. kumbe alimaanisha KING'AMUZI
 
hahaa ahah haha haha haha hawa wamasai jamani watatuharibia kiswahili jamani!
 
mmasai wa posta hyo anajua kila kitu anaamua tu kujichetua
 
nipo hapa ofisi za startime
sasa kaja mmasai kaacha watu hoi baada ya kusema:
mudumu patia ile naitwa kinga ya mafusi. kumbe alimaanisha KING'AMUZI
Eti kinga ya mafusi! nimechekaje!!!
 
Back
Top Bottom