W wanna Member Joined Dec 16, 2012 Posts 76 Reaction score 16 Jan 18, 2013 #1 nipo hapa ofisi za startime sasa kaja mmasai kaacha watu hoi baada ya kusema: mudumu patia ile naitwa kinga ya mafusi. kumbe alimaanisha KING'AMUZI
nipo hapa ofisi za startime sasa kaja mmasai kaacha watu hoi baada ya kusema: mudumu patia ile naitwa kinga ya mafusi. kumbe alimaanisha KING'AMUZI
CHIKAMBAKU JF-Expert Member Joined Dec 11, 2012 Posts 237 Reaction score 21 Jan 18, 2013 #2 Te he te he nimeipenda hiyo
C chriss mattar Member Joined Jan 16, 2013 Posts 10 Reaction score 1 Jan 18, 2013 #3 ha haha kweli kali ya mwaka