Mmasai atoa kali msibani

Mmasai atoa kali msibani

Wa kusoma

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2011
Posts
3,454
Reaction score
2,984
Ndg zangu wanajamvi sijachangia lolote humu jamvini tangu mwaka huu uanze. Bann yangu imeisha na sasa mwenye wivu ajinyonge WA KUSOMA nimerudi jamvini.

Mmasai m1 alihudhuria msibani, ulipofika muda wa kuaga maiti akakaribishwa aseme chochote.
MMASAI: Akaanza msiba oyeeeee! Watu wote kimya. MMASAI: Akarudia jameni msiba oyeeeeee! Watu wote kimya.
MMASAI: Haya basi yenye wivu ijinyonge iwe kama hii tuizike na yenyewe.

Huo ni ujumbe wa WA KUSOMA kwa wenye wivu naye hapa jamvini.
 
Copy & paste. Kijana pole na ban. Kuna pacha wako anaitwa COMPLICATOR sijui mnajuana.
 
sasa ile ID ya complicator nani anaitumia kwa sasa?
 
Jamani ninakataa na kukataa tena mimi simfahamu hata kidogo COMPLICATOR
 
pole na ban.. though sikujui ila u made me lough.. nipe account number yako nikuload au niku transform kutoka kwenye shida mpaka kwenye raha.... COZ I CAN TRANSFORM U...!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom