Mmasai Apandisha mzuka jijini.....

Boflo kupiga piga hizi picha utakuja pata kipigo wewe! hayo ndo mambo gani
 
Huyu mmasaia lindo kamwachia nani?
 
Nilitegemea angekuwa juu hewani -- km ilivyo kawaida yao, kumbe ndio anazidi kubonyea.
 
Mnh! Mguu wa huyo mdada ni zaidi ya wa chupa ya bia!
 
mmmhhh!! huyo mmasai!! akae chini basi ili walingane wacheze vzur!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…