C Chal Senior Member Joined Oct 7, 2010 Posts 128 Reaction score 52 Apr 10, 2011 #1 Mmakonde kaenda kukagua shamba lake la ndizi,huko akakuta mwizi na furushi la ndizi anataka kukimbia... Unajua alimwambia nini? ukichimama nchale,ukikimbia nchale, ukichunguluka nchale, ukichunguncha nchale,ukinyamacha nchale"!chagua moja nnatakaje?
Mmakonde kaenda kukagua shamba lake la ndizi,huko akakuta mwizi na furushi la ndizi anataka kukimbia... Unajua alimwambia nini? ukichimama nchale,ukikimbia nchale, ukichunguluka nchale, ukichunguncha nchale,ukinyamacha nchale"!chagua moja nnatakaje?
afrodenzi Platinum Member Joined Nov 1, 2010 Posts 18,153 Reaction score 9,270 Apr 11, 2011 #2 Hahahahahahahah lol Good fun.. Kama ni mimi natoka nduki.
Slave JF-Expert Member Joined Dec 6, 2010 Posts 5,313 Reaction score 2,657 Apr 11, 2011 #3 Chacha jamani kila kitu nchale. Kwe!kwe! Kwe! Shukran mkuu kwa chakula ya mawazo hii.
Nazjaz JF-Expert Member Joined Jan 20, 2011 Posts 7,802 Reaction score 9,281 Apr 11, 2011 #4 ningesema nataka nchale
Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member Joined Nov 20, 2010 Posts 1,802 Reaction score 284 Apr 11, 2011 #5 Chal said: Mmakonde kaenda kukagua shamba lake la ndizi,huko akakuta mwizi na furushi la ndizi anataka kukimbia... Unajua alimwambia nini? ukichimama nchale,ukikimbia nchale, ukichunguluka nchale, ukichunguncha nchale,ukinyamacha nchale"!chagua moja nnatakaje? Click to expand... Wamakonde wanalima korosho sio ndizi.. AU ATAKUWA MMAKONDE-MCHAGA WA KISHUMUNDU... Kwi kwi kwi kwi
Chal said: Mmakonde kaenda kukagua shamba lake la ndizi,huko akakuta mwizi na furushi la ndizi anataka kukimbia... Unajua alimwambia nini? ukichimama nchale,ukikimbia nchale, ukichunguluka nchale, ukichunguncha nchale,ukinyamacha nchale"!chagua moja nnatakaje? Click to expand... Wamakonde wanalima korosho sio ndizi.. AU ATAKUWA MMAKONDE-MCHAGA WA KISHUMUNDU... Kwi kwi kwi kwi
K kifuniboy Senior Member Joined Nov 25, 2010 Posts 191 Reaction score 17 Apr 11, 2011 #7 <p> Pasco_jr_ngumi said: Wamakonde wanalima korosho sio ndizi.. AU ATAKUWA MMAKONDE-MCHAGA WA KISHUMUNDU... Kwi kwi kwi kwi Click to expand... </p> <p> </p> inaonekana shida yake ni kumpiga ntu nchale tu..tena wa makalio
<p> Pasco_jr_ngumi said: Wamakonde wanalima korosho sio ndizi.. AU ATAKUWA MMAKONDE-MCHAGA WA KISHUMUNDU... Kwi kwi kwi kwi Click to expand... </p> <p> </p> inaonekana shida yake ni kumpiga ntu nchale tu..tena wa makalio