Mmakonde kajichora tatoo!

Mmakonde kajichora tatoo!

old-muslim-woman-of-the-makonde-tribe-with-facial-scars-and-lip-ornament-BKE7T6.jpg
Kaweka kipini huko sio kujichora
 
Wanaitwa Wamawiya Mkuu!
Yap! Ni Wamawiya ijapokuwa hili jina la Umawiya linatumika kule Msumbiji ila wakivuka Mto Ruvuma na kuingia Tanzania wanakuwa Wamakonde. Ni sawa na Wamakua, kule Msumbiji wanaitwa Wameto ila wakivuka kuja huku Tanzania wanaitwa Wamakua. Na ndio maana Tanzania katika orodha ya makabila hautaweza kukuta Wamawiya na Wameto bali Wamakonde na Wamakua
 
Asante nimeona
Utamaduni wa kujichora usoni ulianza zama za biashara ya Utumwa, wale wanunuzi wa Watumwa walikuwa hawanunui watu wenye michoro (chase) usoni hivyo Wamakonde wakabuni hiyo style ya kujichora usoni ili wasinunuliwe. Biashara ya Utumwa ilipokomeshwa, uchoraji huo ambao unatumia kitu Chenye ncha kali ukabaki Kama Mila na desturi za kabila hilo ijapokuwa siku zinavyozidi kwenda Utamaduni huo unafutika kwa kasi kubwa.
images%20(2).jpg
images%20(1).jpg
 
Utamaduni wa kujichora usoni ulianza zama za biashara ya Utumwa, wale wanunuzi wa Watumwa walikuwa hawanunui watu wenye michoro (chase) usoni hivyo Wamakonde wakabuni hiyo style ya kujichora usoni ili wasinunuliwe. Biashara ya Utumwa ilipokomeshwa, uchoraji huo ambao unatumia kitu Chenye ncha kali ukabaki Kama Mila na desturi za kabila hilo ijapokuwa siku zinavyozidi kwenda Utamaduni huo unafutika kwa kasi kubwa. View attachment 740914View attachment 740915
Mbona kama wanawaiga faru John RIP? I mean hivyo vipembe
 
Mmh. Davet jamaani.

Hivyo huyo ndio binadamu halisi. Duuh.
Heheh!! Aiseee

Anasura halisi ya binadamu wa Kiafrica sio kama wewe rafiki ukienda India unakubarika, China wanajua wa kwao, poland wanakukubali yaani kila unapoenda unafit

[emoji23][emoji23]
 
Heheh!! Aiseee

Anasura halisi ya binadamu wa Kiafrica sio kama wewe rafiki ukienda India unakubarika, China wanajua wa kwao, poland wanakukubali yaani kila unapoenda unafit

[emoji23][emoji23]
Hahahaaa. Lol.

Wacha nikubali kishingo upande. [emoji85]

Japokuwa hao wenye sura halisi wanazidi kupotea kila kukicha.
 
Hahahaaa. Lol.

Wacha nikubali kishingo upande. [emoji85]

Japokuwa hao wenye sura halisi wanazidi kupotea kila kukicha.
Mabadiriko ya science na tec yanachangia sana kupoteza hii asili ya watu wetu....

Kuna picha hapo juu zimetumwa muda si mrefu waone hao mabint halisi
 
Mabadiriko ya science na tec yanachangia sana kupoteza hii asili ya watu wetu....

Kuna picha hapo juu zimetumwa muda si mrefu waone hao mabint halisi
Nimewaona rafiki. Eti mabinti lo.

Nikawa nawaza hivyo vya puani ila kuna mtu nipo naye wa huko Mtwara akaniambia wanatobolewa halafu hako ka mjiti kanapita kutokea chini ya mdomo.

Nimejikuta naogopa. Ila ndio asili yao hiyo.
 
Hahah!! Hiyo miti inafanya vimidomo vyao vinakua virefu, sasa sijui ni urembo au vinakazi yake
 
Hahah!! Hiyo miti inafanya vimidomo vyao vinakua virefu, sasa sijui ni urembo au vinakazi yake
Hahhaaa. Nimeuona wa huyo binti wa juu kati ya hao wawili yaani umeondoa shoo ya mdomo kabisa yaani.

Itakuwa ni urembo tu rafiki.
 
Back
Top Bottom