Ngoja nikuunganushie kwahuyu jirani
Wana Jf naomba ridhaa yenu na utayar wenu katika hili. Nahitaj na kutafita binti mlokole ambae yuko makini na tayar kwa kua katika mahusiano ya malengo. Pia asiwe muongo. Aliyekua tayar tafadhali ni pm au kama unamfaham mlokole ambae yupo loose pliz connect ......
Nawasilisha
Hakuna mlokole loose wako tight na Yesu

Ntajua jinsi ya kuishi nae muhim apatikane kwanza wadau
Ulokole ni kitu cha kiroho zaidi cha kimungu zaidi ....mapenzi ni kitu cha kihisia zaidi, kidunia zaidi...unaweza kumpata mlokole haswa lakini akawa na tatizo kubwa sana kwenye mahusiano. ....! Hilo ni angalizo tu nimekupa
ladyfurahia Ulokole ni innermost self na Mungu wakati mapenzi ni inner most feelings na mpenzi ni vitu viwili tofauti kabisani kama sijakuelewa vile mkuu ulichotext hapa