#COVID19 Mlochoma chanjo njooni mtupe mrejesho kwa hali ya sasa

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
8,992
17,892
Mlochomwa chanjo mwaonaje hali?Hii hali ya sasa vp? Maana naona hili wimbi na nyie mmo tena kwa wingi kweli kweli

Vp mlochomwa hali ipoje kwa wimbi la sasa?nasema haya maana walochomwa naona na nyie mnahangaika kama sisi tu huku mtaani yaan tuna hali sawa....
 
Zitto imempiga Corona japo Chanjo kapata
Wamedanganywa kuwa ukipata Chanjo ukiumwa Corona siyo serious.
Cha hajabu hata ambao hawajapata Corona na wao wakipata mafua wanapona vizuri

Hakuna taarifa yeyote kama mafua ya kipindi hiki yameondoa uhai watu
 
Mlochomwa chanjo mwaonaje hali?Hii hali ya sasa vp? Maana naona hili wimbi na nyie mmo tena kwa wingi kweli kweli

Vp mlochomwa hali ipoje kwa wimbi la sasa?nasema haya maana walochomwa naona na nyie mnahangaika kama sisi tu huku mtaani yaan tuna hali sawa....
Usiwe na wasi mkuu, fimbi cheza iko poa tu!
 
Back
Top Bottom