Kichuchunge
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 425
- 1,027
Ngozi Yako ndio inalaana sisi wengine hazina laana.Waafrika hasa Tanzania hatujawahi kuwa na akili, ngozi nyeusi ni laana.
Viongozi wangapi hapa Tanzania wamepita na wengine wapo wenye rangi nyeupe, wamefanya mambo ambayo ni kichaa anaweza kukubali.Ngozi Yako ndio inalaana sisi wengine hazina laana.
Kajichubue uwe na ngozi nyeupe basi
Afisa habari wa klabu ya Kitayosce, Pendo Lema amesema walikuja Dar es Salaam na wachezaji (20) kwa ajili ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Azam football club.
Jana asubuhi walikamilsha malipo yote ya vibali vya wachezaji wao wote (TFF) wakaambiwa mtandao unasumbua hivyo wasubiri majina ya wachezaji wao yaingizwe.
Ameendelea kusema, baadae mchana wakapewa taarifa kuwa majina (8) ya wachezaji wao yameingizwa kwenye system wasubir majina mengine.
Ameeleza kuwa, wachezaji hao (8) sio wa kikosi cha kwanza ni wale waliopanda daraja na timu kutokea Championship.
Mpaka muda wa mchezo unafika amesema majina yaliyokuwa kwenye system wanaoruhusiwa kucheza yalikuwa (8) tu hivyo ikabidi waende hivyohivyo uwanjani.
Majina yote ya wachezaji wao tayari yameingizwa kwenye system mpaka sasa, ameeleza kuwa jana usiku ndio walipewa taarifa kuwa majina yote yako verified.
Walikuwa wanadaiwa na mchezaji FIFA iliwafungiaAfisa habari wa klabu ya Kitayosce, Pendo Lema amesema walikuja Dar es Salaam na wachezaji (20) kwa ajili ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Azam football club.
Jana asubuhi walikamilsha malipo yote ya vibali vya wachezaji wao wote (TFF) wakaambiwa mtandao unasumbua hivyo wasubiri majina ya wachezaji wao yaingizwe.
Ameendelea kusema, baadae mchana wakapewa taarifa kuwa majina (8) ya wachezaji wao yameingizwa kwenye system wasubir majina mengine.
Ameeleza kuwa, wachezaji hao (8) sio wa kikosi cha kwanza ni wale waliopanda daraja na timu kutokea Championship.
Mpaka muda wa mchezo unafika amesema majina yaliyokuwa kwenye system wanaoruhusiwa kucheza yalikuwa (8) tu hivyo ikabidi waende hivyohivyo uwanjani.
Majina yote ya wachezaji wao tayari yameingizwa kwenye system mpaka sasa, ameeleza kuwa jana usiku ndio walipewa taarifa kuwa majina yote yako verified.
Hiyo ratiba inetoja lini ndugubtangu? MwezKwann wao siku ya mechi ndo waje walipe na kutaka wachezaji wao waingizwe kweny system?? Hebu imagine ratiba imetoka muda tuuu wao siku hyo hyo ya mechi ndo wafanye malipo serious??
Na huu ndo Utanzania wetu, mtu unafanya jambo fulan mpka kuwe kuna jambo la kulazimisha kufanya hivyo
Hii ndio point ya msingi, usifanye jambo kwenye deadline, lolote linaweza kutokea, server ikawa down, umeme ukakatika na vitu kama hivyoKwahio iwe funzo la kutokufanya vitu last minute...., Inaweza kutokea kwa watu watatu au wanne lakini sio timu nzima
Hivi tatizo ni TFF au Kitayosce?Afisa habari wa klabu ya Kitayosce, Pendo Lema amesema walikuja Dar es Salaam na wachezaji (20) kwa ajili ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Azam football club.
Jana asubuhi walikamilsha malipo yote ya vibali vya wachezaji wao wote (TFF) wakaambiwa mtandao unasumbua hivyo wasubiri majina ya wachezaji wao yaingizwe.
Ameendelea kusema, baadae mchana wakapewa taarifa kuwa majina (8) ya wachezaji wao yameingizwa kwenye system wasubir majina mengine.
Ameeleza kuwa, wachezaji hao (8) sio wa kikosi cha kwanza ni wale waliopanda daraja na timu kutokea Championship.
Mpaka muda wa mchezo unafika amesema majina yaliyokuwa kwenye system wanaoruhusiwa kucheza yalikuwa (8) tu hivyo ikabidi waende hivyohivyo uwanjani.
Majina yote ya wachezaji wao tayari yameingizwa kwenye system mpaka sasa, ameeleza kuwa jana usiku ndio walipewa taarifa kuwa majina yote yako verified.
Nchi hii ni full fukayose aisee kha.Afisa habari wa klabu ya Kitayosce, Pendo Lema amesema walikuja Dar es Salaam na wachezaji (20) kwa ajili ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Azam football club.