Mlishawahi kukutana na hii hali? Msaada

Mlishawahi kukutana na hii hali? Msaada

kidi kudi

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2011
Posts
2,764
Reaction score
2,491
Heshima kwenu wadau,
Kuna mtu namdai tangu 2010 kiasi cha zaidi sh. Laki 1,cha ajabu ni kwamba kila nimpigiapo simu naambiwa sina salio la kutosha kupiga simu wakati huo nina salio zaidi ya sh.500 na wakati mwingine nimejiunga vfurushi vya dakika.
Hali ni hiyo hiyo mara zote nkimpigia mpaka aamue yeye kunipigia,hata sms zina-fail!
Msaada wenu tafadhali tatizo ni nini?

NB: Natumia mtandao wa Voda na yeye pia
 
Back
Top Bottom