Papa Mopao
JF-Expert Member
- Oct 7, 2009
- 4,166
- 2,670
Nimemaliza metakeflin ,nimepima leo wamesema wapo waili.
Nimegonga mwarobaini jioni nasikilizia,asubuh nishtue tena.
Huu ni ndo msimu wa malaria, mvua zimeacha madimbwi, majani na unyevu unyevu ni hali nzuri kwa mbu kuzaliana kwa wingi. Safisheni mazingira, kata majani, fukia madimbwi ya maji, vifuu au mahali popote yanapotuama maji. Tumia chandarua yenye dawa, pakaa repellants, puliza dawa za kuua mbu.
Pamoja na haya nashangaa watu bado wanatumia dawa kama metakelfin ilipigwa marufuku na fansidar iliishakuwa sugu.
Lakini pia naona watu wanalalamikia dawa mseto hazitibu hili nalo la kuangalia. Na dawa mbadala kama artefan, artequick na artequin ni ghali sana kwa walio wengi na hazitolewi vituo vya serikali.
Hali ya hewa hii pia inaendana na mafua, dengue fever hivyo vyote vina homa kupima ni muhimu.
KINGA NI BORA KULIKO TIBA.
malaria imeuaaa sana....nafikiri wizara ya afya wangefanya famigation kwa kutumia ndege tu wawaue hao mbuu mji mzima
hafj mtu zambia na botswana wanafanya...ila wanatoaa taarifa watu wasile vitu au mboga zilizopo njw kw muda fulani....famigation kwa ndegw inafanywaFumigation kwa ndege..??! tena mji mzima.., si utauwa na watu au..?!
Duh hii kweli hasa Tabata nimeishuhudia aisee...Nyumbani kwangu kuna wagonjwa wawili na wikiendi hii nimeenda kwenye kiota (Kwetu Pazuri) kupiga moja mbili naona jamaa zangu wawili wanakunywa maji kisa Dozi ya Malaria.
Kumbe wote mlikuwa mnaumwa dengue tu.., daah!
Watu wanadai eti hii ni propaganda ya kumzima tundu lissu.., hahahah..!FRANCIS DA DON....mbona kitambo tulishaona gonjwa hili wizara wali delay sana....mpaka yawakute wao na watoto zao ndiyo waanzee ku ongea..ukweli watu wamekufa sana mwezi mmja nyuma
francis da don@....syo kweli mkuu ishu iko tght kitambo kwanza serikali haina uwezo wa ku inject virus hii kwa watu...ili wanyamazishe watu.gonjwa lipo na lmeleta balaa..Watu wanadai eti hii ni propaganda ya kumzima tundu lissu.., hahahah..!