Mlipuko wa mabomu Mombasa

Mlipuko wa mabomu Mombasa

Dah!Utumwa hautaisha kwa mfumo huu!Yaani mtu anajikaza kuandika lugha za watu mpaka anaandika vitu vya ajabu ajabu.Mimi naamini ukitumia lugha unayoijua zaidi inakufanya uwe huru zaidi na kufikiri kwa mapana zaidi.Najua anajifunza lugha ngeni lakini hapa si mahala pake.Yote kwa yote poleni ndugu zetu wa Mombasa.
 
Mombasa it most enjoyable place in east Africa but now mhhhh. It better you go Kampala or Kigali for enjoy with wife. Zanzibar it worse now especially if am know you are not muslim. Why do muslim like to see blood spilled ? What you get to kill mistakeless child?!""! it enjoy to see dead woman ?

wewe! kama huwezi ongea kingereza,wacha kabisa na ukome kuharibu hili lugha. Una IQ ndogo,kama haujui kitu dont force it. I do not know swahili well bt cant spoil the tense to this extent.
 
Kenya wasipofukuza wasomali wote watawatesa sana, fukuza wote hata kama alikuja mwaka 1980. Hawa wafia dini watawatesa sana wasipofanya hivyo

hapo ni sawa na kuangalia ulipoangukia na sio ulipojikwaa, ondoa majeshi ya kenya somalia
 
Huyu mhuni tu kaamua kututumbulia utumbo hapa watu tuone kichefuchefu. Muoneni kama Mkandamizaji tu
 
hapo ni sawa na kuangalia ulipoangukia na sio ulipojikwaa, ondoa majeshi ya kenya somalia

Kumbuka kisa cha Kenya kwenda Somalia ni baada ya al shaabab kuja kwenye fukwe za Kenya na kuteka watalii, hivyo hata wakenya wakiondoa majeshi hawa jamaa wataendelea na uhalifu
 
Mombasa it most enjoyable place in east Africa but now mhhhh. It better you go Kampala or Kigali for enjoy with wife. Zanzibar it worse now especially if am know you are not muslim. Why do muslim like to see blood spilled ? What you get to kill mistakeless child?!""! it enjoy to see dead woman ?

Seriously you should have written in Swahili and you'd have made sense, ona sasa kilichotokea khaaa
 
Mombasa it most enjoyable place in east Africa but now mhhhh. It better you go Kampala or Kigali for enjoy with wife. Zanzibar it worse now especially if am know you are not muslim. Why do muslim like to see blood spilled ? What you get to kill mistakeless child?!""! it enjoy to see dead woman ?

khaaaaa! nimejikuta narudia kusoma Mara mbilimbili.Maana naona kabisa maneno niyakiingereza lkn kila nikijaribu kusoma nakuta inasound kipogoro.Nimeishia kucheka maana ukisoma mbwembwe za mwandishi na alivoandika havishabihiani.
 
Mombasa it most enjoyable place in east Africa but now mhhhh. It better you go Kampala or Kigali for enjoy with wife. Zanzibar it worse now especially if am know you are not muslim. Why do muslim like to see blood spilled ? What you get to kill mistakeless child?!""! it enjoy to see dead woman ?

Write kirangi no English. ..
 
Kenya wasipofukuza wasomali wote watawatesa sana, fukuza wote hata kama alikuja mwaka 1980. Hawa wafia dini watawatesa sana wasipofanya hivyo

Huu utakuwa ni uvunjifu wa haki za kibinaadamu. .fyi
SOMALI NI MOJA YA KABILA KENYA JAPO WAPO WASOMALI TOKA SOMALIA...NI KAMA MAASAI WA KENYA NA TZ. ..
 
Usiwe mkali sana..labda ana practice. .and practice makes perfect. .hahah

hapo ni sawa na hata hao wanaosema kiswahili asilimia kubwa ni broken. Watanzania tunatumia kiswahili cha mawasiliano ambacho si cha asili. Hata jamaa kama hajui ni mwanzo wa kujua alipokosea ila cha ajabu sijaona hata mmoja akimrekebisha zaidi ya kumkosoa. Mnaopinga kama mnataka kumsaidia mngemrekebisha ili ajue
 
Huu Ujinga wa Kufikiri kwa Lugha za Kigeni Utakwisha lini ? Huyu atakuwa ni Mke wa Le Mutuz ! Maana ndio Kiongozi wa Malimbukeni wanaodhani Kuwa bila Kingereza kukimix na Kiswahili Ujumbe haufiki bara-bara,Wapo watu wanaamini Kuwa kuzungumza Kingereza ni Usomi wakati kuna wasomi kwa kichina,kifaransa,kispain,Kijerumani nk wana PHd ni Maprofesa kwa lugha zao pasipo kukifahamu Kingereza.

hahahaha duh
 
Kenya wasipofukuza wasomali wote watawatesa sana, fukuza wote hata kama alikuja mwaka 1980. Hawa wafia dini watawatesa sana wasipofanya hivyo

Hebu soma kidogo historia yao kabla hujaandika haya unajua northeastern yote imekaliwa na wasomali tangu 1925 na hiyo miaka ya 80.Wasomali walikuwa almost 900,000 pata darasa kwanza ok
 
ImageUploadedByJamiiForums1399224209.809463.jpg gari yenyewe waliolipua leo hii sasa sijuwi wamepata faida gani
Kweli gaidi ni gaidi tu!eti unatetea dini?unauwa watu hawana hatia swaiin!
 
Back
Top Bottom