Hujamsikia Kamanda Sirro anasema mauaji yalisababishwa na dhuluma. Sasa ukidhulumu unategemea nn?Viongozi kibao wa ccm wameuwawa kibiti Mashinji mpaka kesho yupo kimya. Sembuse kaofisi kamoja tu?
Mlikuwa mnauwana wenyewe kutafuta kiki labdaViongozi kibao wa ccm wameuwawa kibiti Mashinji mpaka kesho yupo kimya. Sembuse kaofisi kamoja tu?
Toka lini IMMA's wakawa na urafiki na CCM?Haijafahamika kama bado ni mapema ama labda hawajaguswa na lolote katika yaliyotokea .
Si Polepole wala Mangula aliyejitokeza kutoa pole mpaka muda huu .
Tayari CUF kupitia kwa Mh Mbalala Maharagande na CHADEMA kupitia kwa mkuu wa Itifaki JOHN MREMA wamekwishatoa Tamko kuhusu unyama huo .
Mytake , URafiki wa kweli ni katika dhiki na faraja .
Mchawi MPE mwana akulelee.Haijafahamika kama bado ni mapema ama labda hawajaguswa na lolote katika yaliyotokea .
Si Polepole wala Mangula aliyejitokeza kutoa pole mpaka muda huu .
Tayari CUF kupitia kwa Mh Mbalala Maharagande na CHADEMA kupitia kwa mkuu wa Itifaki JOHN MREMA wamekwishatoa Tamko kuhusu unyama huo .
Mytake , URafiki wa kweli ni katika dhiki na faraja .
Soma tena andiko utaelewa .
Ha ha ha, makamanda mna vituko.Hujamsikia Kamanda Sirro anasema mauaji yalisababishwa na dhuluma. Sasa ukidhulumu unategemea nn?
Mwaka gani uliwahi kuwa na hoja wewe ?Hujajibu hoja
Umejibu hoja?Mwaka gani uliwahi kuwa na hoja wewe ?
Mlipuko wa nini?Haijafahamika kama bado ni mapema ama labda hawajaguswa na lolote katika yaliyotokea .
Si Polepole wala Mangula aliyejitokeza kutoa pole mpaka muda huu .
Tayari CUF kupitia kwa Mh Mbalala Maharagande na CHADEMA kupitia kwa mkuu wa Itifaki JOHN MREMA wamekwishatoa Tamko kuhusu unyama huo .
Mytake , Urafiki wa kweli ni katika dhiki na faraja .
Zamu yako ikifika ndio utajua ni nini .Mlipuko wa nini?
CUF ni miongoni mwa wateja wa moja kwa moja wa ofisi hizo na mwanasheria mkuu wa CHADEMA Lissu anatetewa ktk shauri mojawapo na mmoja kati ya mawakili wa kampuni hiyo kwa hiyo wote kwa namna fulani ni wahanga wa shambulio hilo.Haijafahamika kama bado ni mapema ama labda hawajaguswa na lolote katika yaliyotokea .
Si Polepole wala Mangula aliyejitokeza kutoa pole mpaka muda huu .
Tayari CUF kupitia kwa Mh Mbalala Maharagande na CHADEMA kupitia kwa mkuu wa Itifaki JOHN MREMA wamekwishatoa Tamko kuhusu unyama huo .
Mytake , Urafiki wa kweli ni katika dhiki na faraja .
Zamu ya nini?Zamu yako ikifika ndio utajua ni nini .
Hayo umesema wewe , mimi nimesema kwamba ccm wamekaa kimya .Kwahiyo unataka kusema kwamba CCM wanajua aliyelipua ofisi hizo ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo kisasi au.Viongozi kibao wa ccm wameuwawa kibiti Mashinji mpaka kesho yupo kimya. Sembuse kaofisi kamoja tu?