Mlipuko mwingine Gongo la Mboto?

EMT

Platinum Member
Jan 13, 2010
14,483
15,308
Kuna mlipuko kama wa bomu umetokea tena leo huko Gongo la Mboto. Wenye habari zaidi watuhabarishe.
 
Wewe ndo umeweka thread halafu unaomba uhabarishwe?? Kwanza umekosea ulitakiwa uweke prefix ya tetesi kwa sababu huna uhakika na kile ukisemacho. Acha u redio mbao!
 
kunguru muoga hukimbiza mbawa zake ni bora ukaulize vizuri huenda ni pancha tu mkuu :majani7:
 
Mdharau mwiba mguu huota matende, poleni wahanga sijui kwann halikulipuka muda ule nanihii alipotembelea
 
Mdharau mwiba mguu huota matende, poleni wahanga sijui kwann halikulipuka muda ule nanihii alipotembelea

Hey I wanna take you out! Theres fabulous pub close to Gongo la mboto Barracks.....ni PM basi tupange!
 
...mapepe, huna taarifa unakurupuka tu. Mi nlikua jiran, ni ajali ya gari. Lala upunguze stress dogo..
 
Back
Top Bottom