JBL Clip 4 haizid laki na 60 kwa nje,nafkr huenda clip 4 weng hamuijuiHakuna jbl ya bei hiyo hapo unakwenda kupata replica ya mchina
JBL Clip 4 haizid laki na 60 kwa nje,nafkr huenda clip 4 weng hamuijui
Hivi unaelewa hata kwa nini umeniquote!? Wewe mwenyewe unakiri kuwa haizidi 160k na jamaa kasema anauziwa kwa 34k. Anyway sawa wengi wetu hatuijuiJBL Clip 4 haizid laki na 60 kwa nje,nafkr huenda clip 4 weng hamuijui
Niliona kama 340 ,my bad mkuu,basi jamaa akae kitalamuHivi unaelewa hata kwa nini umeniquote!? Wewe mwenyewe unakiri kuwa haizidi 160k na jamaa kasema anauziwa kwa 34k. Anyway sawa wengi wetu hatuijui
Uko sawa mkuu,niliona kama 340,000 kumbe ni 34k,hio ni pure crappyHivi unaelewa hata kwa nini umeniquote!? Wewe mwenyewe unakiri kuwa haizidi 160k na jamaa kasema anauziwa kwa 34k. Anyway sawa wengi wetu hatuijui
Pamoja mkuu🤝Uko sawa mkuu,niliona kama 340,000 kumbe ni 34k,huo ni pure crappy