Mliowahi ku-date/kuoa/kuolewa na wazungu let's share changamoto mlizokutana nazo. Au ni kama wabongo tu?

View attachment 779191

View attachment 779224

Mliowahi ku-date/kuoa/kuolewa na wazungu let's share changamoto mlizokutana nazo.

Changamoto zao ni kama za partners weusi ama wao wana afadhali kidogo?
km hiii.........

corazon_kwamboka-20180515-0001.jpg
 
wanaroho ngumu hao watu kama waRussia halafu wanatisha....ukiwaona tu na ilivyo mirefu asee hahaha uwe na moyo
Hao hawanifai!
Kuna mdada ameolewa na Mjerumani niliwahi kumsikia akihojiwa na DW alisema wanaoruhusiwa kumtembelea wakahudumiwa kwa bajeti ya familia ni wazazi wake na ndugu wa damu tu, na wanatakiwa watoe taarifa mwaka mmoja kabla ya kumtembelea.
 
Back
Top Bottom