Watu wana mitazamo hasi sana. Yule jamaa kanifundisha,yupo very simple ila upstairs(kichwani) yuko vizuri balaa. Hawezi kufa njaa kamwe,kinachohuzunisha ni product yetu ila ataenda kunufaisha nchi nyingine kama akina Beno Ndulu.Hii yako ni poverty mentality. Sio kila tajiri anapenda show off. Warren Buffett ana utajiri wa USD 85 billion lakini anaishi kwenye nyumba yenye thamani ya USD 35,000. Mark Zuckerberg ana utajili wa USD 57 billion lakini anaendesha Volkswagen GTI yenye thamani ya USD 30,000.