Mliosema Profesa Assad alikuwa na mali nyingi akiwa UDSM mlituongopea. Angalia akitumia gari Toyota IST

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
118,240
219,440
Huyu unayemuona pichani anaitwa Musa Assad , huyu mtu ni Profesa na ndio CAG wa Tanzania kwa sasa , hakujali cheo alicho nacho akaamua kuwa na IST , gari ambayo baadhi ya Vijana wanaojiita wazalendo wanaona ni ya kuhonga tu .

Capture11.PNG
IST.PNG
 
Sio kila mwenye mafanikio kaiba, acha mtazamo hasi kama JPM, huyu ni mtu mkubwa na kafanya kazi sehemu nyingi na analipwa vizuri tu. IST kwake ni ujinga tu.
Kama uzalendo ndio huo siutaki
Udhaifu wa IST ukoje labda mkuu ? Usione watu wana haya ma V8 binafsi wana mipango mingi haramu sana , sasa huyu mzee wa watu na swala tano zake unataka aibe wapi ?
 
Back
Top Bottom