wakusoma
JF-Expert Member
- Feb 25, 2008
- 1,084
- 1,065
Sisi tunaijua fitna banaaa..unatuletea usomi mbuzi wako unatukana tukana watu eti wakatengeneze juice si kuchimba gas!! Mtu mwenyewe mwepesiiii Ka ubua!!fitina huwezi...tumepiga fitnaa..tumekamulia na ndimu...umebanaaaa..ukaachia mara waya!"!! Mtoto mdogo sana we we..kawaulize kina masilingi.na bado tutahakikisha unakuwa konda mjini hapa