Saoka JF-Expert Member Oct 23, 2018 405 565 Oct 24, 2020 #1 Habari, vipi kwa wale waliopo Arusha hususani Wilaya ya Arumeru majina wanatangaza lini ya usimamizi uchaguzi maana mpaka sasa sina taarifa zozote yani. Kwa wenye taarifa watujuze tu ndugu zangu.
Habari, vipi kwa wale waliopo Arusha hususani Wilaya ya Arumeru majina wanatangaza lini ya usimamizi uchaguzi maana mpaka sasa sina taarifa zozote yani. Kwa wenye taarifa watujuze tu ndugu zangu.
Smart911 Platinum Member Jan 3, 2014 119,502 142,236 Oct 24, 2020 #2 Ngoja waje kukupa muongozo... Cc: mahondaw
lysah Member Feb 13, 2017 32 23 Oct 24, 2020 #3 Had mm nasubr..atakaye pata taarfa atujuze na ss jmn...
Saoka JF-Expert Member Oct 23, 2018 405 565 Oct 24, 2020 Thread starter #4 lysah said: Had mm nasubr..atakaye pata taarfa atujuze na ss jmn... Click to expand... Poa tujulishane Mkuu
lysah said: Had mm nasubr..atakaye pata taarfa atujuze na ss jmn... Click to expand... Poa tujulishane Mkuu
Mbaga Jr JF-Expert Member May 28, 2018 19,101 41,610 Oct 25, 2020 #6 Kama mpaka sasa hujapigiwa simu, bc hesabu kuwa huna chako tena hapo. Pia waalimu ndio wanapewa kipaumbele
Kama mpaka sasa hujapigiwa simu, bc hesabu kuwa huna chako tena hapo. Pia waalimu ndio wanapewa kipaumbele