Mliopo Arusha (Arumeru) interview lini za usimamizi wa Uchaguzi??

Mliopo Arusha (Arumeru) interview lini za usimamizi wa Uchaguzi??

Saoka

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2018
Posts
468
Reaction score
682
Habari, vipi kwa wale waliopo Arusha hususani Wilaya ya Arumeru majina wanatangaza lini ya usimamizi uchaguzi maana mpaka sasa sina taarifa zozote yani.

Kwa wenye taarifa watujuze tu ndugu zangu.
 
Had mm nasubr..atakaye pata taarfa atujuze na ss jmn[emoji3525]...
 
Kama mpaka sasa hujapigiwa simu, bc hesabu kuwa huna chako tena hapo.
Pia waalimu ndio wanapewa kipaumbele
 
Back
Top Bottom