mliopita jkt mwaikumbuka hii

mliopita jkt mwaikumbuka hii

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,209
1233395_715556285128198_66253047_n.jpg
 
Daah,Hii ktu mali sana,ukiwa jeshini yaani ina matumizi tofautitofauti,
kwa wasio fahamu matumizi yake,; Ukiwa Jeshini mii nilikuwa natumia kwa anzia asubh mpaka nalala.
Asubuhi nilikuwa natia humo maji yakusutua mdomo,kupiga mswaki na kunawa uso,kwenye kuoga naingia nayo bafuni nachotea maji kwenye ndoo najimwagia,nikimaliza nnacho kama kawa messin ndo kazi yake ubwabwa,mumomumo,manyamanyama humohumo,mchicha humohumo mixer,.
Baada ya shughuli za kutwa nzima jion naweka mkaa wenye moto ili ni pige pasi gwanda,wakati wa kulala naiongezea manguonguo kisha natumia kama mto wa kulalia. kweli jkt raha saaaana.
 
duh mkubwa umetisha
 
Aaahaa aaha umenifurahisha sana matumiz yote hayo hasa mda gan ulkuwa unakfanyia usafi
 
Yeah,, ni Mestin ila jeshini inaitwa KIENYEJI Mustin naikumbuka sana ni kifaa chwa kwanza kabisa kukabidhiwa just after CAMP INTRODUCTION.
 
Back
Top Bottom