Mliopata mialiko leo njooni tujadiline

Mliopata mialiko leo njooni tujadiline

Ndugu zetu wachoyo sana hadi muda huu bila bila.

Pamoja na kujianda vyakutosha kununua pilipili,ndizi za kuiva sijaambulia mwaliko.

Nikaona isiwe taabu nika nunua kanzu,bakashia na makobazi lakini wapi jamaa wamegoma.
Hawa jamaa siyo watu wazuri kabisa aisee, pole sana mkuu
 
Nimepata mialiko minne sehemu zote nimekula hapa nipo kitandani nimetulia tumbo linaunguruma kama simba.
 
Mandalizi idd pili
 

Attachments

  • IMG-20250331-WA0011.jpg
    IMG-20250331-WA0011.jpg
    38.4 KB · Views: 12
Back
Top Bottom