Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 46,003
- 113,881
Kipindi cha mfungo walikuwa wanasema hawanialiki iftaar ili waje wanialike Eid, leo nmetoka bila bila 😂
Nakufata hukohukoMimi nipo mkoani mkuu
Pole sana mkuu, majirani zako wachoyoKipindi cha mfungo walikuwa wanasema hawanialiki iftaar ili waje wanialike Eid, leo nmetoka bila bila 😂
Usimtegemee binadamuKipindi cha mfungo walikuwa wanasema hawanialiki iftaar ili waje wanialike Eid, leo nmetoka bila bila 😂
Aya karibu Mwanza Pasaka, kula pilau la samakiNakufata hukohuko
😁😁😁muhimu si umeshibaNinashukuru sana kwa huu mwaliko ingawa nimetatizwa sana na hili suala la kukaa chini na kukunja miguu, nimehisi kupewa adhabu kwa chakula nilichokula, kah
Wachoyo sanaPole sana mkuu, majirani zako wachoyo
Haha unanitafutia ban kwa nguvu jiraniLinaitwaje na linalimwa wapi?
Usijali kikubwa usiwe na mume ama mchumba nikija mimi nakutwaa moja kwa moja sawa..?Aya karibu Mwanza Pasaka, kula pilau la samaki
Kwani moderators wanakagua sms moja moja?😁😁Haha unanitafutia ban kwa nguvu jirani
Hakika mkuu, ila vichoyo kama nini.Usimtegemee binadamu
Sensa ya mwaka 2022 ilionyesha matunda hayo yapo mengi Tanzania mkuu.Huku Tanzania mbona halipo mkuu
😁😁😁🙌duh! Wewe hufai kwa mualiko mbonaUsijali kikubwa usiwe na mume ama mchumba nikija mimi nakutwaa moja kwa moja sawa..?
Mmmh! Kwenye sensa wanahesabu matunda siku hizi?Sensa ya mwaka 2022 ilionyesha matunda hayo yapo mengi Tanzania mkuu.
Waambie nawe una sikukuuHakika mkuu, ila vichoyo kama nini.
😁😁😁Pole sana mkuu ni heri ungekula zako mgahawaniKwani Pilau kichwa cha kuku bei gani?
Mimi wa kutumia nauli 5000 naenda kula msosi wa 3500!!!?
Waislamu sio watu wazuri
Wakomeshe pasaka na wewe wafungie viooWachoyo sana
usiogope silagi watu mimi😁😁😁🙌duh! Wewe hufai kwa mualiko mbona