kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,178
- Thread starter
- #61
Ule mpira raha yake upate mchezaji mzuriIla ule mpira mwingine unafagilia?
Ule mpira raha yake upate mchezaji mzuriIla ule mpira mwingine unafagilia?
Duh! Nini mkuuDuuuh
Mbona tupo wachezaji wazuri ni vile hamtupi nafasiUle mpira raha yake upate mchezaji mzuri
Siwaamini maana nilishawapa namba wachezaji wengi lakini wanautumia vibaya uwanja kwahiyo sasa hivi no😁😁Mbona tupo wachezaji wazuri ni vile hamtupi nafasi
Sio shidaSiwaamini maana nilishawapa namba wachezaji wengi lakini wanautumia vibaya uwanja kwahiyo sasa hivi no😁😁
HakikaDuh! Nini mkuu
Kwa biiiinde sana 😂😂😁😁😁muhimu si umeshiba
Pole sana mkuu na sisi pasaka tuwakomesheKwa biiiinde sana 😂😂
Asante kwa kushiriki, wewe haujala leo
Umekula nini leo jamaniHakika
Watajua hawaijui, kiti moto ya kuchoma, ya kukaanga na supu yake.Pole sana mkuu na sisi pasaka tuwakomeshe
Shida ipo hapoSio shida
Hiyo supu ya kitimoto utatapika sikushauriWatajua hawaijui, kiti moto ya kuchoma, ya kukaanga na supu yake.
Yaani nimekula balaaaUmekula nini leo jamani
Hongera sana jambo la kheri hiloYaani nimekula balaaa
Hiyo ni kwa ajili ya wageni waalikwa 😂😂Hiyo supu ya kitimoto utatapika sikushauri
Bora hata wangekuepo ma hajat ningepozea huko.Siku nyingine utakuwa umejifunza