Nomadiq
JF-Expert Member
- Jan 5, 2025
- 8,552
- 22,842
Jirani kweli umeshiba soda 😀Kwani moderators wanakagua sms moja moja?
Hizi sio SMS ni comments ukipenda ziite post [emoji3]
Jirani kweli umeshiba soda 😀Kwani moderators wanakagua sms moja moja?
Afadhari😁😁😁Pole sana mkuu ni heri ungekula zako mgahawani
Huko huko mkoaniMimi nipo mkoani mkuu
Siku nyingine utakuwa umejifunzaAfadhari
Aya ntakualika PasakaHuko huko mkoani
Hatulipi ubaya kwa ubaya, ubaya unalipwa kwa ubwela😂Wakomeshe pasaka na wewe wafungie vioo
Si mpaka nife 😂Waambie nawe una sikukuu
Hafai mtangaza Nia!?!😁😁😁🙌duh! Wewe hufai kwa mualiko mbona
Nitakuja,sijawahi fika Mwanza!Aya ntakualika Pasaka
Anajuaje kama mimi nafaa au sifai kupitia maandishi?Hafai mtangaza Nia!?!
Karibu Rock CityNitakuja,sijawahi fika Mwanza!
Eeeh! Wewe Simba bila shakaHatulipi ubaya kwa ubaya, ubaya unalipwa kwa ubwela😂
Hapana mkuu mimi mwananchiEeeh! Wewe Simba bila shaka
Sasa hivi msemo wenu ni upi?Hapana mkuu mimi mwananchi
Hongera, chakula kizuriNimekula chipsi mayai , na chai yq madhiwa
Misemo ni ya umamani huku kiumeni hatunaga misemoSasa hivi msemo wenu ni upi?
Mna mbwembwe sana mashabiki wa timu hizi mbili mimi ndiyo maana sifagilii ushabiki wa mpiraMisemo ni ya umamani huku kiumeni hatunaga misemo
Ila ule mpira mwingine unafagilia?Mna mbwembwe sana mashabiki wa timu hizi mbili mimi ndiyo maana sifagilii ushabiki wa mpira